MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,923
- 40,246
Kuna Ile siku Lugola alikuwa anamfananisha mkuu wa nchi na Yesu kisa tu mkate wake wa ubunge!!![emoji15][emoji848]nilistaajabu Sana[emoji26]Taifa la ajabu Sana ,silipendi kama nini basi tu sina uwezo wa kwenda kokote
Mwehu yule! Tumbo lilizidi njaaKuna Ile siku Lugola alikuwa anamfananisha mkuu wa nchi na Yesu kisa tu mkate wake wa ubunge!!![emoji15][emoji848]nilistaajabu Sana[emoji26]
Asante sana kwa kuongea ukweli Mungu akubariki.Habari wana JF,
Kwa masikitiko makubwa naomba nitoe maoni yangu chefuzi. Watu wetu wana IQ ndogo, kwa sababu ya hofu wanashangilia udhalimu na kupigia mapambio uonevu.
Je, kazi ya akili ni nini, ikiwa haikufikirishi? Je, kazi ya elimu ni nini ikiwa haikuelimishi? Ikiwa unauza utu wako kwa mkate, nini kitakushinda kuuza wenzako kwa kipande cha kioo?
Historia itatuhukumu, wajukuu zetu watastaajibishwa na namna yetu duni ya kufikiri.
wajukuu zetu watastaajibishwa na namna yetu duni ya kufikiri.
Shukran mkuuAsante sana kwa kuongea ukweli Mungu akubariki.
HakikaKwa jinsi tunavyoishi, nawasiwasi na hicho kizazi cha wajukuu wetu kama watakua smart, au watakua wamerudi utumwani[emoji55]