Taifa lililojaa wezi wa kila awamu, ni wafanyabiashara waliochoshwa wenye ujasiri wa kusema hapana yenye kishindo

Point !
 
Magufuli anaingiaje hapo wew
alikuwa mwizi tu na yeye! Tena alikuwa jambazi na israel mtoa roho! Ukisikia "kikosi kazi cha tra" kilianzia awamu yake na ushahidi wa unyama na ujambaz wake tuna refference za kina sabaya ! Ukweli ni kuwa the man was smuggler
 
Wanatangaza kwa mbwembwe kwamba wamevuka lengo la ukusanyaji wa mapato, sijui haijawai kutokea, maneno mengi, kumbe kubambikia watu kodi na kukusanya kwa mabavu.

Ikiundwa tume huru inawezekana kipato walio nacho Wafanyakazi wa TRA kikubwa kuliko kinapelekwa serikalini au robo yake kinamilikiwa na wafanyakazi wa TRA.
 
alikuwa mwizi tu na yeye! Tena alikuwa jambazi na israel mtoa roho! Ukisikia "kikosi kazi cha tra" kilianzia awamu yake na ushahidi wa unyama na ujambaz wake tuna refference za kina sabaya ! Ukweli ni kuwa the man was smuggler
Zirudishwe kama aliiba au kazikwa nazo?

Kikosi kazi cha kubambikia yule mama 30 billion ni cha JPM?
 
Hahahah
Mtahaha ssna sana

Kodi hiyo wanaoilalamikia na mateso ni ya awamu hii ya sita.

Shetani asikutumie kuhadaa umma
 
Hahahah
Mtahaha ssna sana

Kodi hiyo wanaoilalamikia na mateso ni ya awamu hii ya sita.

Shetani asikutumie kuhadaa umma
Wizi upo miaka karibu yote ya awamu za CCM. Jitahidi uyajue haya masuala kwa kina.
 
Kabisa !
 
Zirudishwe kama aliiba au kazikwa nazo?

Kikosi kazi cha kubambikia yule mama 30 billion ni cha JPM?
Usiwe mpumbavu! Kikosi kazi kiliundwa enzi za huyo mzalendo na kina majaliwa ndo walikizindua! Kazi ya kikosi kaz ndo hyo ya kupora pesa kwenye acc za watu kubambikia watu kodi na kesi za uhujumu uchumi! Huyo mama ni muendelezo lkn pia hutukuwahi kusikia kikosi kilivunjwa! Pia awamu ilioanza huo utamadun wa kupora ni hii hii ilioanza 2015 na itamaliza muda kikatiba 2025! Tunapaswa tupige kelele wote kupinga hawa majambaz wavaa suti! Sio kujustfy au kutenganisha wengine! Au mwenzetu hujui kuwa fedha za plea bagain na hizi zinakusanywa sasa zipo china? Na wakusanyaji ni wale wale
 
Ngoja waumini na sisi tuwekke
Ngoja na sisi waumini tuweke mgomo wa kupigwa sadaka, huku tukiaidiwa maisha yetu yatabadilika kwa kupitia maombi, wakati wao wanayabadili kwa hela cash
 
Kila tunapofurahia ufunguaji wa daraja jipya, barabara au mradi mwingine mkubwa hizo pesa zinazofanikisha suala hilo na kupigiwa makofi mara nyingi ni jasho la wafanyabiashara fulani walioonewa kwa makusudi kabisa na mfumo dhalimu wa ukusanyaji wa kodi.

Hulka ya uonevu haiwezi kudumu hata siku moja, kinachomuumiza mtu nafsi na akawa anaishi kwa machungu ya moyoni huwa hakina muendelezo wa miaka mingi mbeleni.
 
Serikali inashindwa vipi kuzirudisha hizo pesa zilizowekwa China ??! Au na waliopo sasa nao ni zao hizo pesa ??!!! Au ni porojo tu zinaendelea za pesa eti zimewekwa China !!
 
Serikali inashindwa vipi kuzirudisha hizo pesa zilizowekwa China ??! Au na waliopo sasa nao ni zao hizo pesa ??!!! Au ni porojo tu zinaendelea za pesa eti zimewekwa China !!
Yaan utoe hela mfuko wa nyuma uzihamishie mfuko wa mbele? Watu tuliowapa dhamana(serikali) ndo wameenda kuzificha huko halafu hao hao ndo unawaambia wazirudishe! Kweli? Hivi shulen ulienda kufuata nin! Kuchungulia chupi za wasichana wakicheza rede?
 
Kumbe mpaka waliopo hivi sasa nao wanahusika ?! Nilikuwa sijafahamu !! Sasa mbona na wao wanalalamika ? Mimi nilidhani ni mwendazake tu ndio anayehusika !
 
Bado unahisi yanayofanyika serikali haijui? Tatizo lako ni sawa na hao wafanyabiashara, wote mnahisi serikali haijui?

Mama Samia alishafanya vikao vingi tu na wafanyabiashara, na yote hayo walishaeleza.
 
Wote ni wezi watupu, wa serikalini wanaopokea huduma ya kodi na hao wafanya biashara wanaolipa kodi.

Naongelea mfumo wa kimafia unaojulikana kuwa rasmi wenye wajumbe wenye kushona sare za chama na kuhudhuria mikutano mikuu kila baada ya miaka mitano.
 
Imekuwa nadra sana kuona mtazamo kama wako hapa Jamvini.

Nasisitiza....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…