Na imekuwa wakati muafaka na sisi kuweka mapandikizi yetu ndani ya CCMAmefuata cheo CCM wala hakuna kingine
Itikadi gani unayojua wewe zaidi ya uchawa kwa watawalaMimi nasimamia itikadi, siangalii nafasi za kisiasa
Katiba inaenda kubadilika mambo yatakuwa magumu sn kwa CCMNa imekuwa wakati muafaka na sisi kuweka mapandikizi yetu ndani ya CCM
Jili mpya yaani . Mnasubir mpaka watoke chadema ndo muwape vyeo wale waliopo pale lumumba au kwasababu wanadaiwa???Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.
Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.
Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi afanye siasa.
Ila ninamuona kama anapenda kazi za kitaalamu, sio mpenda makelele.
Taifa limechelewa kupata utumishi wake, ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.
Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.
Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi afanye siasa.
Ila ninamuona kama anapenda kazi za kitaalamu, sio mpenda makelele.
Taifa limechelewa kupata utumishi wake, ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
Katib iliyopo hawafuati ,uchaguzi wanaiba hata wapewe katiba ya aina gani CCM ni wajanja sana ..Katiba inaenda kubadilika mambo yatakuwa magumu sn kwa CCM
Huyo Upendo tayari ameshapewa kazi,huko uvccm wamejaa chawa tu ndiyo inabidi waje watafute vichwa huku Chadema. Hivi chawa kama Lucas mwashambwa utampa kazi gani,ni kuwaacha wapuyange tu huku mitandaoni wakiishi kwa matumaini ya kuteuliwa siku moja siku ambayo haitafika hadi kiama.Mimi nadhani CCM ifikie hatua mgeni anayehamia ccm apokelewe vizuri sana na alelewe vizuri sana na chama kimpe muda kwanza , siyo kupewa vyeo kisa ametoka upinzani, ccm ina wasomi wengi, vijana smart sana na ambao wanajitoa sana kwa ajili ya chama na wanakipenda chama, sidhani kama ccm wanaweza kufanya hivi, wakifanya hivyo watasababisha vijana wenye weledi waingie kwanza upinzani kutafuta majina na umaarufu wa kisiasa kisha wanaingia ccm kwa maslahi zaidi.
Ulichokiandika umedhihirisha kwamba hizi ndizo akili za mwafrika Tena yule mwafrika duni wa kufikiri. Unamuamini vipi huyo dada? Je kama kapandikizwa ku scrutinize? Ndiyo maana mnawapa ajira na teuzi wakimbizi.Nimemfuatilia sana Upendo Peneza. Ni kiongozi anayetumia akili sana, na amekuwa tofauti na Chadema wengi wanaokurupuka.
Ni msomi wa haja, madigirii yamejaa kichwani, ana hekima kubwa sana.
Natamani mama ampe majukumu makubwa sana serikalini. Pamoja na hayo, kama anapenda siasa, apewe nafasi afanye siasa.
Ila ninamuona kama anapenda kazi za kitaalamu, sio mpenda makelele.
Taifa limechelewa kupata utumishi wake, ila wakati wa Mungu ni wakati sahihi.
but she was so mean compared to other contestants.Masoud Kipanya ndiye aliyemuibua Upendo Peneza kwenye kipindi cha Maisha Plus.
Upendo alikuwa mshiriki mwenye mvuto sana. Wahenga wenzangu mtakubaliana na hili.
CHADEMA wenyewe ninadhani walimuona kupitia Maisha Plus na wakamyakua.
Sisi tuna imani naye, hayo mengine utajua weweUlichokiandika umedhihirisha kwamba hizi ndizo akili za mwafrika Tena yule mwafrika duni wa kufikiri. Unamuamini vipi huyo dada? Je kama kapandikizwa ku scrutinize? Ndiyo maana mnawapa ajira na teuzi wakimbizi.