Taifa limepasuka; wanaopata mkate kutoka serikalini wapo kushiba; wasiopata mkate wanatafuta pakupata mlo

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Kama Taifa hatupo pamoja; wazee wamegawanyika; huu siyo uhuru wa kuongea ni hasira ya kuyumba kwa misingi yetu.

Mwalimu alituambia tinaweza leo tunaambiwa hatuwezi; wakati tunaamini tunaweza. Tunaamini hatuna mlo tunalazimishwa tumeshiba.

Jk amekwenda kutalii kuvuta attention ya watu kila mtu kapuuza; hotuba za kuteua zimekuwa nyingi; hotuba za kutengua zimekuwa nyingi; wakosoaji wamekuwa wengi hadi tunataka kuwachukua.

Ila hata tukiwachukua wakosoaji hatutaweza kuwapa uhuru walikukosoa.

Tujitathiminj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…