KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Wanajulikana Twitter Republic tu...
Dada alijua kuboost nyonyo kwenye sendoff hehe
Dada alijua kuboost nyonyo kwenye sendoff hehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka kapicha basi KateWanajulikana Twitter Republic tu...
Dada alijua kuboost nyonyo kwenye sendoff hehe
Wanajulikana Twitter Republic tu...
Dada alijua kuboost nyonyo kwenye sendoff hehe
Ziko twitter hukoWeka kapicha basi Kate
Daa siko twitter fanya kushea NamiZiko twitter huko
Ngoja watazileta
Acha ujinga wewe utopoloTaifa letu
KusadikikaUnali zungumzia taifa gani?
Daaah umeipamba mnoLeo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy
Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top
Chawa huyoDuh, mtu mwenyewe hata mta wapili hajulikani kutujazia server tu hapa!! Eti simamisha Taifa, kabana pua kabisa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mpiga mzumari ukashibe vyema ubwabwa!!
Amepewa simuWewe ni kukubali tu halafu utakuta mtoa maada ndio bwana harusi kosa ashughulike na ndoa yake ashakimbilia kutafuta kiki jf
Laiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha niniDuh, mtu mwenyewe hata mta wapili hajulikani kutujazia server tu hapa!! Eti simamisha Taifa, kabana pua kabisa!!!😂😂😂😂Haya mpiga mzumari ukashibe vyema ubwabwa!!