Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

Hapo namuona Mch. Dkt Lyimo... Ni Hananasifu KKKT?
 
Watu wa twitter lazima mjua JF ni jamii nyingine isiyoendekeza shobo! Humu hakuna kujuana humu watu hawatafuti likes na RT, humu watu hawatafuti followers... Kwa kifupi humu kile kijiji kisichokuwa na watoto hasa watoto kama wewe kwahyo huna budi kurudi ulipotoka!

Nawasilisha
 
Hata wewe mleta mada ulikuwa mwajiriwa wa Airtel? Basi ndio sababu huu ni mtandao mbovu, unaajiri watu kama wewe. Umeandika as if huyo bwana harusi aliwahi kujisaidia haja kubwa uwanja wa taifa kwahiyo watu wote tunamjua.

Umesema CEOs watakuwepo pale kwani ana hadhi gani na maajabu gani kwenye masoko. Tueleze
 
Leo twitter kuna ndoa ya taifa ni baina ya Guru wa mauzo mitandaoni Gillsant Mlaseko na mwanadada mjasiliamali bibie Lucy

Hii ni harusi ya kitaifa sababu kwa level ambazo Gilsant anazo ni wazi kuwa kutakuwa na ma top
Daaah umeipamba mno
 
Duh, mtu mwenyewe hata mta wapili hajulikani kutujazia server tu hapa!! Eti simamisha Taifa, kabana pua kabisa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mpiga mzumari ukashibe vyema ubwabwa!!
Chawa huyo
 
Ndiyo kinanani hao hapa mjini?

Taifa lipi hilo lilosimama?

-Kaveli-
 
Duh, mtu mwenyewe hata mta wapili hajulikani kutujazia server tu hapa!! Eti simamisha Taifa, kabana pua kabisa!!!😂😂😂😂Haya mpiga mzumari ukashibe vyema ubwabwa!!
Laiti ungejua uzito wa Gilsant usinge andika hivi. Ungepata nafasi ya kuhudhuria hii harusi ungemuelewa mleta uzi anamaanisha nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…