Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!


Hebu niambieni ni huyo huyo aliyeamrisha kamanda Mawazo auawe, ndiye aliyeamrisha kurushwe bomu kwenye mkutano wa chadema, ndiye aliyemtishia Zitto Kabwe kifo na mhariri yule aliyekuwa mwananchi Dennsi Msacky na niye aliyempoteza Ben Saanane? Miaka yote hii Hugo huyo tu.

Ndiye aliyemng'oa meno Dr Ulimboka?
 
Ansbert anajitahidi kuandika uongo, anaandika uongo vizuri na hii ndio propaganda.

Kuna mambo madogo madogo ana hamu nayo sana kiasi yanaharibu uongo wake.

Hamu yake ya kuchomekea kinondoni imeharibu utamu wa uongo wake. Watu wa Mwanza wazungumzie mbinu ya kinondoni ambayo kwa namna yeyote hawatakuwepo kushiriki. Aaaaah Ansbert, ungepunguza kidogo kaka mambo mbona yangekuwa mswano!
 

Una matatizo ya akili wewe.
 
Moja kati ya vitu ninavyo vipenda sana kwa Mungu ni hiki; Wote tutakufa. Wauaji, wapanga mipango ya kuua watu, wanao ua kwa bahati mbaya, matajiri, masikini, wasomi, mbumbumbu, wenye vyeo na wasio na vyeo, wote tu tutakufa; Hilo ninalipenda na lina usawa ndani yake. Ulindwe na mbwa, bunduki, waganga, majini wote tu tutakufa siku moja. Ningependa binadamu wote tulikumbuke hilo and something very good is, hatujui siku wala saa tutakayo KUFA. Bora kumcha Mungu
 
Chadema iruhusu dereva ahojiwe, Hizi zingine ni political stories
dereva alikuwa anaendesha gari, hata akihojiwa unafikiri atasema nini zaidi ya kwamba “ni kweli walishambuliwa kwa risasi na watu ambao hakuwatambua” . Nadhani uchunguzi ni kwenye kamera, walinzi wa lile eneo na namba ya gari iliyotajwa awali.
Hizi hbr za dereva hazina maana, swali majambazi yakivamia nyumbani na kuua familia nzima uchunguzi unaanzia wapi? Acha polisi wafanye kazi yao usiwaletee majibu mepesi na ya kijinga kama haya
 
Kuna kitu kikubwa sana sana kila mtu anakifahamu, Pascal Mayalla acha kupoteza muda, unaujua ukweli, wanaujua ukweli. Huenda unataka nikuelewe the way ninavyofikiria, kama hivyo ndivyo basi uko sahihi....but pamoja na kuwa sahihi ukweli ni kwamba hawataweza kujichunguza wenyewe
 
Timu iliyokwenda Dodoma kumpiga Lisu Risasi ni Le mutuz, Lipumba Jerry muro na Maliyamungu Bashite sio siri tena
Duh...... Hii ni so sensitive information!

Ngoja kwanza niitafakari halafu nitarudi.....

Kama ndiyo tumefika hatua hii ya kuwaona wapinzani kama wahaini, hakika Taifa linaangamia!
 

Wananchi tukiamua tunaweza yote,lakini ni mpaka tuamue,sasa hivi bado labda hatujaguswa vizuri.
 
Pascal Mayalla Ngurumo anajiaminije mpaka anatoa taarifa ngumu kama hii? .Hajui kuwa wengi aliowataja ni wateule wa Rais ?

Inamaana Rais anabariki upuuzi huu?Ngurumo jitokeze ueleze vyema tofauti na hapo utaitwa mchochezi
Ngurumo ameamua kuwachana hao wapuuzi, maana habari zile ni za jikoni kabisa sio za kuunga unga.

Kwa majina yao wakane hizo habari, wasikimbilie kumkamata bali watueleze ukweli ni upi kuhusu habari hizo, wakikataa tu Ngurumo atuletee na CD za video.

Hahahhaaaa
 
Hakika JF ndiyo habari ya mjini kwa sasa hivi!

Hivi information kama hizo so sensitive ningezipata wapi kama siyo JF??

Tunapaswa tuiombee JF ili wale malaika aliowataja Bwana Mkubwa wasije kutuzimia *mtambo" wetu wa kutoa habari nyeti!
 
"Nakuagiza Mh Spika washughulikie huko ndani ya bunge wale walopokaji wote (Wabunge wa upinzani), na wakija huku nje ya bunge mimi nitawashughulikia"..... By baba ubaya

"Nashangaa sana hadi sasa wasaliti (wapinzani) bado wanaendelea kusurvive"..... By baba ubaya.

Huyu ndio sterling wa shambulio la Mh Lissu.
 
Hii nchi hata watu wa "system" wamechoka na upuuzi unaoendelea na ndiyo maana "wanalikisha" very sensitive information......

Kwa kuwa huyu Bwana Mkubwa amekuja kuua msingi muhimu sana aliotuachia Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere, wa Umoja tuliokuwa nao bila kujali tofauti zetu za itikadi za kisiasa.

Lakini huyu Bwana Mkubwa amekuja na Sera yake ya kuwaona wapinzani kama WAHAINI!

Mungu ibariki Tanzania
 

Pascal sidhani hicho kama kilikuwa kikao cha ulinzi na usalama japo kilihudhuliwa na wajumbe wa ulinzi na usalama.
Hicho ni kikao cha CCM na wadau wake wanaofanikisha uwepo wa CCM, Uwepo wa CCM ni faida kubwa kwa baadhi ya watu hivyo lazima waulinde uwepo huo kwa namna yeyote hili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…