Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!

Taifa linaparaganyika na mparaganyi ni mwenyewe halafu anadai "eti aombewe"

Mlikataa kufanya serious vetting mkampa nchi mrundi mnategemea nini? wale hulka ya kuua na roho mbaya kwa ujumla viko damuni mwao. Ni lini ulisikia Burundi kuna amani? hii ndo furaha yao na Tanzania ndo tushaingia huko, si umeona ubaguzi unavyoanza kuota mizizi?
 
Hii nchi kuna mambo makubwa yanaendelea mungu atusimamie yanatisha kama ni kweli watu waliomba mungu awape kiongozi na kiongozi mwenyewe awe na haya huyu atakuwa anatoka kwa shetani
 
Kwanini unajadili kitu usichoamini[emoji15]
 
Pascal umewapa taarifa wasiojulikana wawatafute wasiojulikana itawazekana kweli au macho yangu yana makengeza...
 
Hatuna bunge lenye kuisimamia serikali mkuu, bali tuko na bunge linalosimamiwa na Serikali
 
Yule mzee anaepata usongo wa mawazo kwa kuhonga n kununua wapinzani ndio mhusika 100%,wenzetu wanajenga uchumi sisi tunanunua watu kma biashara ya utumwa..huyu mzee baba kashafeli kila jambo kabakiza kupiga picha makanisani tumuone malaika
 
Hivi kweli jamaa ni mrundi au maneno tu mkuu?
 
Mkuu ulivyoandika inasikitisha huku ikichekesha.
 
Mkuu pasco tumsifu yesu Kristu

Naomba jibu

Ni wakati gani Ngurumo anakuwa mwanahabari na wakati gani anakuwa mwanasiasa tena kamanda wa chadema kikwelikwelii?

Utamtofautishaje Ngurumo wa siasa na mwanahabari?

Nijibu nirudi kwa mapana
Kama ambavyo ni vigumu kumtofautisha MAGU akiwa rais na wakati akiwa mwenyekiti wa ccm,ni hivyo hivyo kwa ngurumo,
 
We jamaa ni spy? mambo unayoyachokonoa bila woga yumkini pasina shaka we ni shushushu (wakala wa ujasusi)
 
Hili ni vizuri kuachia hapa kwasababu whoever who was behind shooting ya Tundu Lissu ni shetani kabisa, the devil in human flesh, mimi siamini tunaye shetani wa aina hii, ila kwa vile sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.
P
 
Tume ya haki za binadamu haiwezi kuwa na mshango katika hili na mengine?

Kwa bahati mbaya haupitii lkn ulisoma ile tweet y pompeo je, tuhuma hizo ambazo zimekucopied Kwenye balozi zetu, je, Tume pia haikuwa na jukumu kwake?

Tusaidiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…