Taifa linahitaji uwepo wa watu kama Lema kuamsha wananchi wanaoridhika na ujinga tunaoaminishwa na CCM

MOSHI UFUNDI

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2022
Posts
526
Reaction score
1,222
Yah salaam wakuu.

Huu muendelezo wa kauli za Lema kwa watu wenye kichwa cha bata wataona jamaa kama anatudharau lakini lahasha jamaa anatupigia alarm tuamke.

Lema anajaribu kutuambia tangu tupate uhuru hakuna kitu cha maana kinafanywa na CCM zaidi ni kutudanganya tu wananchi.

Lema anajaribu kutuambia mafanikio ya nchi na wananchi yanaanzia kwenye taratibu nzuri za uongozi.

Lema anajaribu kutuambia Viongozi wa CCM hawajui kuzitumia Rasilimali ipasavyo na pia wakizitumia basi ni kwa manufaa yao tu.

NAMUUNGA MKONO LEMA .
MUNGU ILINDE CHADEMA.
MUNGU WALINDE WATANZANIA

MUNGU IANGUSHE CCM.
 
Chadema lazima msapoti hatutaki. Wewe fundi Bomba pambna na hali yako
 
Lema anaongea ukweli halisia ila kuufungamanisha ukweli anaoongea Lema na Chadema sio kweli, Chadema na ccm nyote mnapaswa kutupisha hamna jipya tena nyinyi mnajuana kuna kitu kinawaunganisha nyote ni matapeli tu.
Duh !! Hapo sasa ! Kazi ipo !!
 
Yah salaam wakuu.

Huu muendelezo wa kauli za Lema kwa watu wenye kichwa cha bata wataona jamaa kama anatudharau lakini lahasha jamaa anatupigia alarm tuamke.

Lema anajaribu kutuambia tangu tupate uhuru hakuna kitu cha maana kinafanywa na CCM zaidi ni kutudanganya tu wananchi.

Lema anajaribu kutuambia mafanikio ya nchi na wananchi yanaanzia kwenye taratibu nzuri za uongozi.

Lema anajaribu kutuambia Viongozi wa CCM hawajui kuzitumia Rasilimali ipasavyo na pia wakizitumia basi ni kwa manufaa yao tu.

NAMUUNGA MKONO LEMA .
MUNGU ILINDE CHADEMA.
MUNGU WALINDE WATANZANIA

MUNGU IANGUSHE CCM.
Anatikisa ili alambishwe asali
 
CCM wanashindwa kumjibu wanabaki kutukana pekee
 
Back
Top Bottom