MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Duh !! Hapo sasa ! Kazi ipo !!Lema anaongea ukweli halisia ila kuufungamanisha ukweli anaoongea Lema na Chadema sio kweli, Chadema na ccm nyote mnapaswa kutupisha hamna jipya tena nyinyi mnajuana kuna kitu kinawaunganisha nyote ni matapeli tu.
Anatikisa ili alambishwe asaliYah salaam wakuu.
Huu muendelezo wa kauli za Lema kwa watu wenye kichwa cha bata wataona jamaa kama anatudharau lakini lahasha jamaa anatupigia alarm tuamke.
Lema anajaribu kutuambia tangu tupate uhuru hakuna kitu cha maana kinafanywa na CCM zaidi ni kutudanganya tu wananchi.
Lema anajaribu kutuambia mafanikio ya nchi na wananchi yanaanzia kwenye taratibu nzuri za uongozi.
Lema anajaribu kutuambia Viongozi wa CCM hawajui kuzitumia Rasilimali ipasavyo na pia wakizitumia basi ni kwa manufaa yao tu.
NAMUUNGA MKONO LEMA .
MUNGU ILINDE CHADEMA.
MUNGU WALINDE WATANZANIA
MUNGU IANGUSHE CCM.
CCM wanashindwa kumjibu wanabaki kutukana pekeeYah salaam wakuu.
Huu muendelezo wa kauli za Lema kwa watu wenye kichwa cha bata wataona jamaa kama anatudharau lakini lahasha jamaa anatupigia alarm tuamke.
Lema anajaribu kutuambia tangu tupate uhuru hakuna kitu cha maana kinafanywa na CCM zaidi ni kutudanganya tu wananchi.
Lema anajaribu kutuambia mafanikio ya nchi na wananchi yanaanzia kwenye taratibu nzuri za uongozi.
Lema anajaribu kutuambia Viongozi wa CCM hawajui kuzitumia Rasilimali ipasavyo na pia wakizitumia basi ni kwa manufaa yao tu.
NAMUUNGA MKONO LEMA .
MUNGU ILINDE CHADEMA.
MUNGU WALINDE WATANZANIA
MUNGU IANGUSHE CCM.
ππEwe mlinda legacy utatetea umasikin hata lini?
πππ Umeongea pweinti!CCM wanashindwa kumjibu wanabaki kutukana pekee
Sawaπππ Umeongea pweinti!