PostGE2025 Taifa linalia, Watanganyika wanaomboleza kimyakimya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Taifa linalia.
 
Vipi walio piga watu risasi na vipi walio toa amri watu wauliwe?
 
Inashangza Taasisi mbalimbali na mabalozi wametoa salama zao za kumbukumbu na kuungana na watanzania lakini inashangaza serikali imekaa kimya hata pole ya uongo na ukweli hakuna? wapo wana sherekea uzinduzi wa majengo ya mji wa mtumba Dodoma. Yaani ni kama yaliyotokea 29 oct hayawahusu.
 
ni mtu mjinga tu anayeweza kusema chadema imecchochea.serikali yenyewe imechochea kwa mauaji ya watu,ufisadi,uongozi mbovu,rushwa NK.Damu hulipwa kwa damu wauaji lazima mlipie
 
Hamtatamba milele.. Mark my words... 🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂🙇🏿‍♂
 
 
Hiyo ya heche utafungua wewe?
Hakuna Cha pesa zilizoingizwa Toka nje Wala aliyehamasisha maàndamano. Aliyeamuru watu wauliwe ni Samia mwenyewe mnajitoa akili tu . Mbona mliowazika kwenye makaburi ya halaikii kule kondo?
Ulitaka majizi yasiuliwe? Acha kutetea uhayawani
 
Bendera ya Ubalozi wa Marekani yapepea nusu mlingoti kuomboleza mauaji ya Watanganyika yaliyofanyika Oktoba 29, 2025.

Wakati huo Bendera ya Tanzania inapepea kama kawaida as if hakuna kilichotokea,.🚮

#Mo29 #TanzaniaMassacre
 
Umoja wa Mataifa umeionya Tanzania kuwa kucheleweshwa kwa uchapishaji wa ripoti ya uchunguzi wa ghasia zilizofuatia uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kunawanyima waathiriwa na familia zao kujua ukweli na kupata haki.

Wataalamu wa haki za binadamu wa UN wanasema mwaka mmoja baada ya ghasia hizo, bado hakuna uwajibikaji kwa madai ya mauaji, utekaji na watu kupotezwa kwa lazima. Pia wameitaka serikali kuweka wazi ripoti kamili ya uchunguzi na kuhakikisha uchunguzi huru unafanyika.

#bbcswahilii #UmojaWaMataifa #hakizabinadamu #tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…