Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga


Umenena vyema,huu ni upumbafu wa hali ya juu,ccm waleta upuuzi mwingi sana hata ule wa viongozi wa dini kuhudhuria vikao vya serikali na vyama vya siasa ni upuuzi mwingine.
 
Urais ni taasisi nyeti mno katika uongozi wa nchi. Rais ni kiongozi wa juu wa taasisi ambayo ndiyo kama kichwa katika mwili.

Rais kutokana na mamlaka makubwa aliyokuwa nayo kikatiba anapaswa kuandaliwa kwa muda mrefu kutokana na "succession planning" na wala siyo tu kwa kutimiza wajibu wa kikatiba wa "filling the existing gap". Pale Rais aliyepo anapoondoka madarakani , ni vyema mchakato wa kumpata mrithi uanze upya kupitia sanduku la kura, ili umma wananchi upate kushirikishwa katika kumchagua.

Makamu wa Rais anapaswa kuishika nafasi hii katika "transition period" wakati mchakato wa kumtafuta mrithi wake ukiendelea. Makamu wa Rais kupewa urais wa awamu inayojitegemea isiwe "by automatic" pale aliyepo madarakani anapokoma ghafla awapo bado ofisini.

Na nakubaliana kabisa na wewe kuhusu kigezo cha kupokezana vijiti kati ya Mkatoliki na Mshia anayekubalika na BAKWATA kisiwepo kabisa, hata kama hakipo kimaandishi. Lakini kuna kila dalili za uwepo wa MoU fulani ya siri katika jambo hili.
 
Wewe ni mpumbavu. Usiyejua kujenga hoja, unaongea kwa mihemko na hisia pasi na kuongea sababu za msigi katika uwasilishaji wa hoja.
Na unaonekana hujiamini ( coward),
Kudhihaki, kukebehi siyo njia bora ya kufikisha hoja kwa jamii
Pumbavu.
 
Hizo ni mambo zandani sana, nakuongezea hii. Mkristo lazima awe mkatoliki na si vinginevyo.
 
Mfumo mbovu
 
Hii yote imekuja baada ya mzee nyerere kuwageuka waislamu alipopata uhuru ndio matatizo yote yakaanzia hapa
 
Taifa la kijinga linalo ona uongozi ni kufurahisha wakristo na waislam pekee na sio kuleta maendeleo ni taifa lililo filisika akili na limejaza matahira sio wananchi wala watawala.
Mkuu, hapo kwenye taifa weka ccm
 
Binafsi nafikiri ni Kwa sababu ya muungano ndio unafanya nchi ionekane inaongozwa Kwa zamu baina ya π™¬π™–π™žπ™¨π™‘π™–π™’ 𝙣𝙖 π™¬π™–π™ π™§π™žπ™¨π™©π™€
...... Issue ya kiongozi wa dheheb Gani anafaa kushika madaraka kutokana na hizo π˜Ώπ™žπ™£π™ž Mbili nafikiri ni Siri ya Kambi yenyewe...
 
Kwakuwa % kubwa ya watu Zanzibar ni waislam so inapofika nafasi ya uteuzi WA mgombea Kutoka Zanzibar... Ndivyo huonekana inchi Inatawaliwa na watoto WA π™„π™¨π™’π™–π™žπ™‘ 𝙣𝙖 π™žπ™¨-𝙝𝙖𝙖𝙦𝙖 Peke Yao.
 
Tangu uhuru huyo raisi amekusaidia nini au kipi kafanya
 
Taifa la wapumbavu hili, wapumbavu ndo wamepewa mamlaka ya kuongoza wapumbavu kama wao.
 
Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam.
This is a fact of what happens lakini hakuna zamu, bali kuna dhana tuu, ila inajitokea tuu!
Nchi za kipumbavu kama za namna hii
Unaweza kutoa mifano
zilizojaza watawala matahira
Watawala gani ni mataahira?
hazitaweza kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kuendelea kukumbatia umasikini na ujinga kwa sababu zimejaza watu wajinga na wapumbavu.
Hapa nashukuru sio nchi yetu kwasababu kimaendeleo tunapaa!
Taifa la kijinga linalo ona uongozi ni kufurahisha wakristo na waislam pekee
Taifa gani hilo?
ni taifa lililo filisika akili
Ni taifa gani?
na limejaza matahira sio wananchi wala watawala.
Duh...!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…