Mzee wa Chai
JF-Expert Member
- Sep 20, 2022
- 684
- 1,202
January anahangaika kweli kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tactical Bribes ??!Umenena vyema,huu ni upumbafu wa hali ya juu,ccm waleta upuuzi mwingi sana hata ule wa viongozi wa dini kuhudhuria vikao vya serikali na vyama vya siasa ni upuuzi mwingine.
Hahaa...ila kweliNi hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam.
Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam.
Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini baada mihula kuisha huanza kufurahi kuwa zamu yao imefika kutoa kiongozi.
Nchi za kipumbavu kama za namna hii zilizojaza wananchi na watawala matahira hazitaweza kupiga hatua yoyote ya kimaendeleo zaidi ya kuendelea kukumbatia umasikini na ujinga kwa sababu zimejaza watu wajinga na wapumbavu.
Taifa la kijinga linalo ona uongozi ni kufurahisha wakristo na waislam pekee na sio kuleta maendeleo ni taifa lililo filisika akili na limejaza matahira sio wananchi wala watawala.