Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,746
- 5,772
Ibara ya 8 ya katiba ya JMT ya mwaka 1977, inatamka wazi mamlaka ya kutawala hili taifa yapo mikononi mwa Watanzania.
Wao ndio wanachagua viongozi ambao lazima watawale na kuongoza nchi kwa mujibu wa katiba ya JMT.
Sasa hivi Tanzania hatushuhudii utawala unaofuata katiba, na katiba inavunjwa bila hata kuona kama kuna waliojuitia kuivunja.
Ibara ya 18 (b) ya katiba ya sasa ya JMT imetoa haki ya kupata na kupokea habari. Leo hii hapa Tanzania ni kosa.
Ibara ya 14 imetoa haki ya kila Mtanzania kuishi. Lakini watanzania wengi hawapati hii haki na wengi wanaoua au kondoa uhai wa wananchi ni watumishi wa vyombo vya dola.
Serikali inawalinda watumishi wa vyombo vya dola wanaoua au kutishia uhai wa raia wasio na hatia
Matatizo ya kudumu ni kuona raia wanauliwa bila makosa, wanabambikiwa kesi.
# Katiba mpya ni muhimu