GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pongezi zangu nyingi sana na mno GENTAMYCINE nazipeleka kwa Gazeti langu pendwa la The CITIZEN na Mhariri wake Mkuu kwa kuipa Uzito mdogo Habari ya PhD ya Utu, Huruma na Unafiki na kuipa Uzito mkubwa Taarifa Muhimu na Kubwa ya Ndege ya Tanzania (ATCL) Kukamatwa huko ilikokuwa kwa Deni la Shilingi Bilioni 380.
Wahariri wa Magazeti mengine Wao Taarifa Kuu waliyonayo ni ya PhD ya Utu na Huruma huku Wakiipamba kwa Kujikomba (Kujipendekeza) ili Wakumbukwe katika Teuzi na Fursa mbalimbali ila hii ya Ndege ya Walipa Kodi (Watanzania) wapatao 61,741,120 Kukamatwa Kwao siyo Habari Uza na inayohitaji muendelezo wake.
Nikiidharau Media ya TZ huwa sikosei.