GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nchi ya kifala sana hii. Wanapeana PhD za kimagumashi kutuziba mdomo swala la ndege.Pongezi zangu nyingi sana na mno GENTAMYCINE nazipeleka kwa Gazeti langu pendwa la The CITIZEN na Mhariri wake Mkuu kwa kuipa Uzito mdogo Habari ya PhD ya Utu...
Hyo ukijadili unaonekana unamchukia aliefukuza muwekezaji yaani wanatka lawama wampe samia wakati aliesababisha mwengine wanajizima dataMsijadili kuhusu walipoleka ndege huko, jadilini alimfukuza huyo jamaa na kumpola sehemu anayomiliki kihalali hiyo ndio hoja ya musingi
Mama yenu ameshakuwa Fixed na Mafia aliowakumbatia ndani ya Chama na Serikalini hivyo vumilieni tu huku hata Raia nanyi mkija Kupigwa Mnada kwa Madeni makubwa yajayo.Nchi ya kifala sana hii. Wanapeana PhD za kimagumashi kutuziba mdomo swala la ndege.
Wote walio husika na kuipeleka ndege Uholanzi wakati tuliambiwa ndege zote zoko grounded ni nani?
Wote waliohusika wakamatwe na wafunguliwe mashitaka ya uhujumu uchumi na uhaini, wakakae jela maisha
Nakuunga mkono Kwa asilimia [emoji817]Pongezi zangu nyingi sana na mno GENTAMYCINE nazipeleka kwa Gazeti langu pendwa la The CITIZEN na Mhariri wake Mkuu kwa kuipa Uzito mdogo Habari ya PhD ya Utu, Huruma na Unafiki na kuipa Uzito mkubwa Taarifa Muhimu na Kubwa ya Ndege ya Tanzania (ATCL) Kukamatwa huko ilikokuwa kwa Deni la Shilingi Bilioni 380.
Wahariri wa Magazeti mengine Wao Taarifa Kuu waliyonayo ni ya PhD ya Utu na Huruma huku Wakiipamba kwa Kujikomba (Kujipendekeza) ili Wakumbukwe katika Teuzi na Fursa mbalimbali ila hii ya Ndege ya Walipa Kodi (Watanzania) wapatao 61,741,120 Kukamatwa Kwao siyo Habari Uza na inayohitaji muendelezo wake.
Nikiidharau Media ya TZ huwa sikosei.