Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

Taifa lione sasa haja ya kuwa na wabunge wasomi wabunge aina ya kibajaji wamepitwa na wakati mfano mzuri huu wa DP WORLD.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Sasa wabunge wote wa ccm walishindwa kutetea maslahi ya taifa je tuendelee kuliamini hili bunge la makanjanja? Kigezo cha mbunge kuishia la saba kimepitwa na wakati hebu fikiria jinsi kina kibajaji na msukuma leo wanaweka wapi sura zao? Elimu hawana lakini wanajitumbukiza kwenye kujadili mambo makubwa ya kitaifa huku wakiwakejeli wasomi wabobevu kama isa shivji.
Kwa haya tuliyaona basi wabunge wasiishie la saba angalau minimum qualifications iwe form six ili kuweza kuendana na ulimwengu huu wa sasa uliojaa changamoto kibao.
 
Maboto kasema yeye hajui kusoma sasa afanyaje??
 
Sifa za kuwa Mbunge ni sawa na sifa za kuwa Askari Polisi.

Kwa sifa hizi hatutafika mbali.
 
Back
Top Bottom