#COVID19 Taifa lipo kwenye hofu kubwa. Chanjo sio suluhu ya kuondoa hofu

#COVID19 Taifa lipo kwenye hofu kubwa. Chanjo sio suluhu ya kuondoa hofu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Hali ni mbaya sana uraiani. Watu wana hofu kubwa. Watu hawana imani na chanjo. Japokuwa wamepewa matumaini kuwa chanjo ya Jonhson ni single shot.

Watu wakiugua mafua sababu ya kibaridi cha kiangazi wanapata hofu ya kufa wanadai ni Corona.

Watu wanapiga nyungu lakini wana hofu ya kifo.

Hii hofu ya kifo kinachotoana na Corona itaisha vipi?
 
Back
Top Bottom