Taifa litaingia kwenye aibu kubwa usiku wa leo huko Algeria, hakuna jinsi

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kiukweli bika kumung'unya maneno, nchi inakwenda kuingia aibu kubwa huko Algeria Leo, wao badala ya kujikita kuhamasishana kuwafunga waarabu, kazi yao kupiga selfie na kurusha kwenye page zao, hakuna wanachokifanya mashabiki huko, mashabiki wa ukweli mmewaacha mmeenda na mabishooo akina Jimmy kindoki.

USM Algeria mkono Yanga 0
 
Makolo hamtoamini macho yenu... leo tunawafunga midomo
 
Kila nikikumbuka matusi wanayotutukana naumia sana.

NINGEPENDA SANA UZALENDO ILA TATIZO WAO NI WASHENZI.
 
Madaktari okoeni hili Kolowizards maana linateseka sana na Yanga FC, lisije kujiua bure sababu tu ya kulazimisha furaha kwa Yanga FC kushinda maana mpira huwa hautabiriki.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
sawa mwendazake
 
sawa endelea kushika ukuta tunatoa rinda wewe na waarabu wako
 
Kwani yanga ni timu ya taifa wewe ah ah ah ah
 
Ndo maana mashabiki wa Yanga wanalalamika, ndege badala ya kubeba mashabiki inabeba makada wa CCM alafu wanatudanganya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe kwani uko huki? unajua nini kinafanyika huko?kwa akili yako unadhani mikakati ya ushindi inapostiwa kwenye mitandao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…