Taifa lolote duniani lenye Rais anayeogopa kujipambania lina hasara kubwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno.

Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC yangu ya Tanzania inavyoniumiza na kunifanya nkose raha mbele ya wana Yanga SC wanaotutambia sasa nizimalizie kwako sawa?
 
Piwa, karismatiki, oll talenti, ze bigi shoo, fela nakadhalika.....😜😜😜😜😜
 
Hasira zangu nyingi za Simba SC yangu ya Tanzania inavyoniumiza na kunifanya nkose raha mbele ya wana Yanga SC wanaotutambia sasa nizimalizie kwako sawa?
Mwana Simba yeyote anayeishiwa nguvu na kupata hasira kwa tambo za amphibian ni fala tu.
 
Taifa lolote duniani lenye Rais ambaye anayeogopa kupambana yeye kama yeye na maadui zake na anatumia watu kumpambania jua lina hasara naye kubwa mno.

Jikite zaidi katika Neno 'Taifa Lolote Duniani' sasa eewe njoo na Hisia zako za 'Kuwashwawashwa' kwa Umpendae Hasira zangu nyingi za Simba SC yangu ya Tanzania inavyoniumiza na kunifanya nkose raha mbele ya wana Yanga SC wanaotutambia sasa nizimalizie kwako sawa?
Hilo litakuwa lile Taifa linaloongozwa na Sir_100. Ndiyo Rais pekee anayetaka ichapishwe fomu Moja, eti hataki upinzani ndani ya chama chake. Ana chawa wengi pengine kuliko Marais wote duniani.
 
Back
Top Bottom