Taifa lolote lenye nguvu duniani linajengwa na Wasomi

Wasomi tunao ila wengi hawana akili

Kuna tofauti kubwa ya msomi na mwenywe akili
 
Ben Saanane yuko wapi?
 
Bahati mbaya watoto wanaenda shule kutimiza wajibu

Wanaomaliza vyuo ni wengi ila kati yao wasomi ni wachache sana
 
Huyu Bwana ana samjo samjo sana, ila anazipamba zionekane zimetokea Langley, McLean, Virginia. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wasomi ni overated makuli na wahenyeka viwandani, mashambani na baharini ndiyo hujenga nchi. Wanahitaji mazingira mazuri tu
 
Kama kuna dawa unatumia...usiache kunywa....

Profesa Muhongo?jitu liongo tapeli na dalali wa Mali za umma ...unakuja kudanganya nini hapa??
Bro unamjua muhongo cheif. Au umeelewa jamaa alichosema lakin
 
Unamaanisha na Hawa wa Africa ama. Hebu paweke sawa kwanza tuendelee na mjadala
 
Katika nchi makini na zilizoendelea, ni baraka sana na suala la kujivunia mno kuwa na rasilimali watu iliyosheheni watu wenye akili nyingi vichwani mwao. Kwani hutambua fika kuwa hao ndiyo chachu kuu ya matumizi ya sayansi na teknolojia. Hutambua kupitia kwao ndiyo siri kuu iliyojificha nyuma ya chimbuko la uvumbuzi, na ugunduzi wa vitu vipya, na pia kichocheo kikuu cha uendeshaji wa kazi kwa ufanisi na tija. Lakini Afrika hali ni tofauti kabisa, ukiona watu wenye akili jinsi wanavyodharaulika, kutotambulika katika mifumo na kazi nyeti, huku wakiongozwa na mabosi vilaza. Kuwa kada wa chama tawala hata kama wewe ni kilaza wa kutupwa, kuwa na undugu, urafiki ama ujamaa na viongozi, kuwa suria ama mchepuko wa viongozi, ukabila ama ukanda ndiyo sifa kuu ya kupewa kazi ama kukabidhiwa wadhifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…