SoC04 Taifa ni kama meli

SoC04 Taifa ni kama meli

Tanzania Tuitakayo competition threads
Joined
Mar 31, 2024
Posts
3
Reaction score
4
Aaah jamani humu nyote muwazima haya mm Nina mchango kidogo kwenye sekta ya vyombo vya baharini kama tunataka nchi yetu ifikie maendeleo kwa haraka, kwanza Jambo la mwanzo la kufanya ni kuwa na mashirikiano mema Kati yetu raia pamoja na vyombo vya usalama wa baharini kwa sababu tukienda kinyume na sheria zilizowekwa na serikali ktk sekta ya usalama wa baharini tutaufanya huu umoja wetu kupoteza na kifuatacho ni kugombana na kukashifiana Jambo ambalo litaleta kukosekana kwa amani ktk nchi yetu kwa hiyo mm kama raia wa Tanzania na ni mzalendo natoa maoni yangu haya kama Yana umuhimu tuishi nao kama hayana umuhimu tuyapoteze kwa maana sio Kila mtu anaipenda nchi yake wengine wanafuata mkumbo tu.
 
Upvote 3
Back
Top Bottom