Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Hakika leo umenifurahisha sana mtumishi wa Mungu askofu Gwajima. Hii ndio asili Yako ya kutetea haki, utu, uzalendo, taifa. bila shaka watanzania wote wamefurahishwa sana na hiki ulichokifanya jana, hata Mungu amefurahi.
Pia soma:
www.jamiiforums.com
Umejitoa mhanga kwa masilai ya taifa zima, kusema ukweli ambao wanaccm na viongozi wa serikali wanaogopa kuusema, either wanaogopa kufa au wanatetea vyeo na masilai yao. Lakini wewe umejilipua. Usiogope watanzania walio poteza ndugu zao kwa sbb ya utekaji wapo nyuma Yako, endelea kusimamia nakutetea haki ya watanzania.
Mungu akulinde Askofu Gwajima.
Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
Pia soma:
Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Salaam! Inaendelea live, https://www.youtube.com/live/n-kmeazATjw?si=X3ij2Vo-Q0MJF8hQ Askofu Gwajima amesema kumekuwa na mlolongo wa matukio ya watu kutekwa pamoja na kupotea hivyo kutokana na hayo ameamua kuitisha mkutano huu na waandishi wa habari kuongelea kuhusu suala hili na kisha kutoa...