Taifa Stars aongezwe Manula, Kibabage, Sureboy na Mkude

Taifa Stars aongezwe Manula, Kibabage, Sureboy na Mkude

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tuache kufikiria watu watasema nn, lakini namna timu inavyocheza inahitaji ongezeko la wachezaji wenye uzoefu pia aina ya Msuva, Manula, Sureboy katika kuamua matokeo pale hali inapokuwa ngumu kwetu.

Hatuna mchezaji kama Kibabage kwenye nafasi Ile anayocheza Kibabage pale Yanga.
 
Mkude tena,hata mupewe Mbappe ninyi ni bongolala sikio la kufa,mpira sio fani yenu kachezeni marede
Hatugombei fito kaka punguza munkari. Ni hoja kwa hoja TU.
 
Tuache kufikiria watu watasema nn, lakini namna timu inavyocheza inahitaji ongezeko la wachezaji wenye uzoefu pia aina ya msuva, Manula, sureboy katika kuamua matokeo pale Hali inapokuwa ngumu kwetu.

Hatuna mchezaji kama Kibabage kwenye nafasi Ile anayocheza Kibabage pale Yanga.
Msuva nasikia hana timu kwa maana hana fitness na mazoezi
 
Ali Salim sio mbaya lakini wako wazuri zaidi kuliko yeye, Ule uzuri unaouona kwake ni kwasababu analindwa na beki Bora ya akina Baka, Job, mwamnyeto, Zimbwe na lusajo vinginevyo hakuna kitu pale. Kama siku mechi ikiamuliwa kwa mikwaju ya penati tutaipoteza hiyo mechi.
 
Mbona Fei hakuwaga na timu lakini alicheza timu ya taifa hivohivo. Hata msuva sio mara ya kwanza kukosa timu na kucheza timu ya taifa kwa ufanisi.
Kuna mdau nilimuliza alinijibu kwa kujiamini tena haraka kwamba Msuva hana timu nadhani sote kuna kitu cha kujifunza kuhusiana na hili, nilidhani Mususa angelisaidia kwenye pressing, (kufungua ngome)
 
Kuna mdau nilimuliza alinijibu kwa kujiamini tena haraka kwamba Msuva hana timu nadhani sote kuna kitu cha kujifunza kuhusiana na hili, nilidhani Mususa angelisaidia kwenye pressing, (kufungua ngome)
Mbona hata Ali Salim hachezi kabisa kwenye timu yake Simba? Ni sawa na kusema hana timu TU.
 
Aliyeeita hiyo timu kichwa cha mwendawazimu alikuwa sahihi. Maana hakuna timu pale.

Kocha mwenyewe wa timu ya Taifa uwezo wake ni wa kufundisha timu za Namungo, Coastal Union, Mlandege, nk! Halafu ndiyo tutegemee maajabu!!
 
Tuache kufikiria watu watasema nn, lakini namna timu inavyocheza inahitaji ongezeko la wachezaji wenye uzoefu pia aina ya msuva, Manula, sureboy katika kuamua matokeo pale Hali inapokuwa ngumu kwetu.

Hatuna mchezaji kama Kibabage kwenye nafasi Ile anayocheza Kibabage pale Yanga.
Manula, Mkude na Sure boy nakubaliana na wewe 100/100. In short, hatuna Golikipa Mzawa anayemfikia Manula kwa sasa. Tusione aibu, tumwite aokoe jahazi. Maana huyu Golikipa anayeanza sasa akipigiwa shuti anakwepa badala ya kudaka au kupangua.
 
Back
Top Bottom