Daaah!mbona unatukatisha tamaa?Mkude tena,hata mupewe Mbappe ninyi ni bongolala sikio la kufa,mpira sio fani yenu kachezeni marede
Ndio ukweli huoDaaah!mbona unatukatisha tamaa?
Hamna kocha mle muzeye.Na wale makocha ni wahuni tu Timu inacheza kama wametoka kunywa Visungura.
Msuva nasikia hana timu kwa maana hana fitness na mazoeziTuache kufikiria watu watasema nn, lakini namna timu inavyocheza inahitaji ongezeko la wachezaji wenye uzoefu pia aina ya msuva, Manula, sureboy katika kuamua matokeo pale Hali inapokuwa ngumu kwetu.
Hatuna mchezaji kama Kibabage kwenye nafasi Ile anayocheza Kibabage pale Yanga.
Kuna mdau nilimuliza alinijibu kwa kujiamini tena haraka kwamba Msuva hana timu nadhani sote kuna kitu cha kujifunza kuhusiana na hili, nilidhani Mususa angelisaidia kwenye pressing, (kufungua ngome)Mbona Fei hakuwaga na timu lakini alicheza timu ya taifa hivohivo. Hata msuva sio mara ya kwanza kukosa timu na kucheza timu ya taifa kwa ufanisi.
Mbona hata Ali Salim hachezi kabisa kwenye timu yake Simba? Ni sawa na kusema hana timu TU.Kuna mdau nilimuliza alinijibu kwa kujiamini tena haraka kwamba Msuva hana timu nadhani sote kuna kitu cha kujifunza kuhusiana na hili, nilidhani Mususa angelisaidia kwenye pressing, (kufungua ngome)
Swali fikirishi je Tanzania tuna namba 9 za kujivunia?, zaidi ya Boko enzi zakeMbona hata Ali Salim hachezi kabisa kwenye timu yake Simba? Ni sawa na kusema hana timu TU.
Manula, Mkude na Sure boy nakubaliana na wewe 100/100. In short, hatuna Golikipa Mzawa anayemfikia Manula kwa sasa. Tusione aibu, tumwite aokoe jahazi. Maana huyu Golikipa anayeanza sasa akipigiwa shuti anakwepa badala ya kudaka au kupangua.Tuache kufikiria watu watasema nn, lakini namna timu inavyocheza inahitaji ongezeko la wachezaji wenye uzoefu pia aina ya msuva, Manula, sureboy katika kuamua matokeo pale Hali inapokuwa ngumu kwetu.
Hatuna mchezaji kama Kibabage kwenye nafasi Ile anayocheza Kibabage pale Yanga.