Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Wangeshinda haya ungeyasemea wapMzamiru hana ball control kumzidi Aziz Andambwile.
Kelvin john hana skills kumzidi clement msize labda kilichomfanya aitwe timu ya taifa ni vile ligi ya ubelgiji wanachezea mpira wa chuma.
Job na sop hakuna walichowaazidi Lusajo mwaikenda na tepsie evance labda ni ufupi tu.
Himid mao na tshabalala wamezeeka hawanna mapafu kuwazidi kina yahaya mbegu achilia mbali Bwn mdogo Kelvin nashon.
tuache ushkaji tufuate uhalisia.
Nb. Namshukuru Mungu sijaangalia hii mechi ya vibwengo.