Taifa stars haisongi mbele sababu inaendekeza ushikaji pamoja na Usimba na Uyanga

Taifa stars haisongi mbele sababu inaendekeza ushikaji pamoja na Usimba na Uyanga

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Mzamiru hana ball control kumzidi Aziz Andambwile.

Kelvin john hana skills kumzidi clement msize labda kilichomfanya aitwe timu ya taifa ni vile ligi ya ubelgiji wanachezea mpira wa chuma.

Job na sop hakuna walichowaazidi Lusajo mwaikenda na tepsie evance labda ni ufupi tu.

Himid mao na tshabalala wamezeeka hawanna mapafu kuwazidi kina yahaya mbegu achilia mbali Bwn mdogo Kelvin nashon.

Tuache ushkaji tufuate uhalisia.

NB: Namshukuru Mungu sijaangalia hii mechi ya vibwengo.
 
Mzamiru hana ball control kumzidi Aziz Andambwile.

Kelvin john hana skills kumzidi clement msize labda kilichomfanya aitwe timu ya taifa ni vile ligi ya ubelgiji wanachezea mpira wa chuma.

Job na sop hakuna walichowaazidi Lusajo mwaikenda na tepsie evance labda ni ufupi tu.

Himid mao na tshabalala wamezeeka hawanna mapafu kuwazidi kina yahaya mbegu achilia mbali Bwn mdogo Kelvin nashon.
tuache ushkaji tufuate uhalisia.
Nb. Namshukuru Mungu sijaangalia hii mechi ya vibwengo.
Wangeshinda haya ungeyasemea wap
 
Hujawahi jiuliza kila kocha kwanini anamuita mzamiru? Kwamba kosa la job ni kutokea yanga? Kuwa serious kidogo.
 
TAIFA STAZI ni "mapopoma" ambayo nchi hii imebahatika kuwa nayo. ASANTE
 
Mie nilivyo ona Rais wa TFF anawajumulisha wale ambao timu yake iliwapumnzisha kisha wakapambana kutuziba mdomo waakajua watapata matokeo kumbe hola
 
Wachezaji wa kigeni wapungue katika vilabu kupisha vipaji Kama mzinze , evans , andambwile , Lusajo nk
 
Back
Top Bottom