Taifa stars ibadilishiwe jina kama mkitaka ahueni.

Taifa stars ibadilishiwe jina kama mkitaka ahueni.

Mleta mada sijui umewaza nini tu [emoji23][emoji23][emoji23] yani jina tu liifanye tim iweze kushinda!!!
 
TFF badilisheni jina hili mara moja kabla sijawachukulia hatua; ni jina la hovyo na halisaidii kuitanganza nchi. Changueni jina linaloendana na utalii, kwa mfano "Serengeti Kings"
 
Back
Top Bottom