BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Oct 15, 2018 #21 Mleta mada sijui umewaza nini tu [emoji23][emoji23][emoji23] yani jina tu liifanye tim iweze kushinda!!!
Mleta mada sijui umewaza nini tu [emoji23][emoji23][emoji23] yani jina tu liifanye tim iweze kushinda!!!
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 17,048 Reaction score 22,790 Jun 20, 2021 #22 TFF badilisheni jina hili mara moja kabla sijawachukulia hatua; ni jina la hovyo na halisaidii kuitanganza nchi. Changueni jina linaloendana na utalii, kwa mfano "Serengeti Kings"
TFF badilisheni jina hili mara moja kabla sijawachukulia hatua; ni jina la hovyo na halisaidii kuitanganza nchi. Changueni jina linaloendana na utalii, kwa mfano "Serengeti Kings"
kavulata JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 13,778 Reaction score 14,214 Jun 20, 2021 Thread starter #23 french said: Inaitwa kilimanjaro stars mkuu Click to expand... Kwani neno stars ni lazima kwenye jina la timu yetu?
french said: Inaitwa kilimanjaro stars mkuu Click to expand... Kwani neno stars ni lazima kwenye jina la timu yetu?