Ni kweli kaka ukikumbuka hii team imekaa kama wik moja bad chemistry haikuw nzur ila amunike alikaa na team mwez mzim ila haikuwa na chemistry yoyote
upangwe kundi moja na sadio mane, riyad mahrez na victor wanyama useme timu haina chemistry..
au unafikiri hiki kikosi cha kenya ndio kile kiliyotufunga misri