Ni kweli kaka ukikumbuka hii team imekaa kama wik moja bad chemistry haikuw nzur ila amunike alikaa na team mwez mzim ila haikuwa na chemistry yoyote
Ha haaaa Mikia FC ilijaa 1st 11.Unamwachaje Kabunda,Balama,Mayanga,Ilamfya,Strikers wa Mtibwa kama Kibaya na mwenzake Kiduku..kweli Matola na Mgunda..hako katoto Kelvin HAWEZI kucheza hata TPL..arrrrggg Wachezaji wa Mikia Wana vitambi ..wanalishwa mbuzi katoliki South kubana matumizi..
mkuu, mapolisi wa kusaidia Stars-CCM ishinde walikuwa busy kuandaa pingamizi la mkutano wa Mbowe. ndiyo maana!!Haya wale wa kulaumu na kuhamisha goli.... Leo tuhamishie lawama kwa nani?
Mje!
Nani hakuwepo leo?
Tumeshindwa nini kuwafunga Uwanja wa Nyumbani? Subiri mechi ya marudiano wanamaliza kazi.Tanzania hamna kituHao Kenya situlicheza nao kule Misri wakatupoteza unadhani kwa mpira tuliocheza leo tungecheza kule Misri wangetufunga hawa.
Watu hawaoni hayo,wanaona kama kikosi Cha Algeria kinafanana Na Kenyaupangwe kundi moja na sadio mane, riyad mahrez na victor wanyama useme timu haina chemistry..
au unafikiri hiki kikosi cha kenya ndio kile kiliyotufunga misri
Kikosi kina ushirikiano bora zaidi kile cha AFCON.Haya wale wa kulaumu na kuhamisha goli.... Leo tuhamishie lawama kwa nani?
Mje!
Nani hakuwepo leo?
Vijana walicheza vizuri lakiniSisi hatujawahi kuwa na bahati hata siku moja! πππ hizi sababu ya kulaumu bahati tuipumzishe sasa