Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale stars
1725651397557.jpg
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Akili za Watanzania hazivuki Yanga na Simba hiki kizazi ni wasted generation. .........unamka anawaza yanga wakati umezungukwa na changamoto za maisha lukuki loh.
 
Hata Juma Mgunda ukimpatia timu hii ya taifa nakuhakikishia anachukua AFCON sema sasa hivi ni zamu ya Zanzibar.
 
Hao ndo wanafanya wàtanzania tuongoze kwa ujinga Afrika yaani timu ipi ya kuchukua world cup au acha wc hata afcon tu robo haijawah kufika yaan naendelea kuamini wenye akili kule ni wawil tu

Ni bora ukae kimya kuficha ujinga mwingne mbele za watu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Akili za Watanzania hazivuki Yanga na Simba hiki kizazi ni wasted generation. .........unamka anawaza yanga wakati umezungukwa na changamoto za maisha lukuki loh.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom