Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

Bench la ufundi huwalinacheza Namba ngapi uwanjani??. Zaidi ya kutoa maelekezo kwa wachezaji??
Naona una mapenzi ya kuiwaza utopolo muda wote.
 
Watanunuliwa hata mabilioni kama walivyonunuliwa Belouizdad kwa kipigo cha goli 4. Ondoa shaka kwa hilo
Mawazo yako kama haya ukiwakilisha mbumbumbu wengine wote ndio mtaji ambao Yanga inatumia kubeba makombe, huu mwaka wa nne wananchi tunabeba tena no doubt!!

Yaani hata hujui Yanga imetoa wachezaji 14 timu za taifa ambao wanacheza Afcon qualifiers games, sasa bado huoni kuwa Yanga ina advantage na wachezaji wake kupata experience kubwa na kujenga stamina!!

Mpira ni mchezo wa wazi krosi za Boka hazipigwi gizani, chenga hatari za Pacome hazipigwi Bunju ni Lupaso.

Ni wazi kuwa Rage ni genius, anawajua vizuri kolo fans, hata ile stori kuwa muunganiko wa timu ulioagizwa na Fadlu toka South Africa kuwa sasa umefika mpakani Tunduma, mashabiki mmekubali kibubu bila hata kupiga cm Tunduma kuulizia kama kweli mzigo umefika hapo!!!

Mtani usikubali uto tukushauri vinginevyo utageuka jiwe. Shikilia bomba hivyo hivyo hadi mwisho wa ligi zote. Usikubali kabisa kubadili mawazo yako kuwa Yanga inahonga timu pinzani kama Belouizdad 4, Azam 4, Simba 5, Ihefu 5, Kmc 5 , Kaizer Chiefs 4. Shikilia imani kuwa Fadlu ni kocha bora wa makombe!!
 
Mtani usikubali uto tukushauri vinginevyo utageuka jiwe. Shikilia bomba hivyo hivyo hadi mwisho wa ligi zote. Usikubali kubadili mawazo yako. Fadlu ni kocha bora wa makombe!!
Soma uelewe usisome kukurupuka mzee, wana Yanga wote wamenielewa kasoro wewe pekee. Soma kwa utulivu halafu tafakari kwa umakini nilichoandika.
 
Nimesoma comment yako nikaona una mawazo mazuri mno ya kuigwa na wanasimba wote ndo maana nimekushauri usikubali uto tukutoe kwenye msimamo wako. Mawazo hayo usiache kuwafikishia pia Fadlu na wachezaji ili mtoboe ile ndondo aka CAF loosers league.
Mtani ujue kombe la NBC premier league msimu huu ni jipya na uto tunalitaka!!
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Aliyewasokomeza mwiko huko nyuma ndiye aliyewafyatua ubongo .

Hapa sasa unafikiri kwa kutumia kamasi badala ya ubongo.
 
Nimesoma comment yako nikaona una mawazo mazuri mno ya kuigwa na wanasimba wote ndo maana nimekushauri usikubali uto tukutoe kwenye msimamo wako. Mawazo hayo usiache kuwafikishia pia Fadlu na wachezaji ili mtoboe ile ndondo aka CAF loosers league.
Mtani ujue kombe la NBC premier league msimu huu ni jipya na uto tunalitaka!!
Pole sana mkuu ni wazi kuwa bado hauna uwezo wa kufungua codes.
 
Mawazo yako kama haya ukiwakilisha mbumbumbu wengine wote ndio mtaji ambao Yanga inatumia kubeba makombe, huu mwaka wa nne wananchi tunabeba tena no doubt!!

Yaani hata hujui Yanga imetoa wachezaji 14 timu za taifa ambao wanacheza Afcon qualifiers games, sasa bado huoni kuwa Yanga ina advantage na wachezaji wake kupata experience kubwa na kujenga stamina!!

Mpira ni mchezo wa wazi krosi za Boka hazipigwi gizani, chenga hatari za Pacome hazipigwi Bunju ni Lupaso.

Ni wazi kuwa Rage ni genius, anawajua vizuri kolo fans, hata ile stori kuwa muunganiko wa timu ulioagizwa na Fadlu toka South Africa kuwa sasa umefika mpakani Tunduma, mashabiki mmekubali kibubu bila hata kupiga cm Tunduma kuulizia kama kweli mzigo umefika hapo!!!

Mtani usikubali uto tukushauri vinginevyo utageuka jiwe. Shikilia bomba hivyo hivyo hadi mwisho wa ligi zote. Usikubali kabisa kubadili mawazo yako kuwa Yanga inahonga timu pinzani kama Belouizdad 4, Azam 4, Simba 5, Ihefu 5, Kmc 5 , Kaizer Chiefs 4. Shikilia imani kuwa Fadlu ni kocha bora wa makombe!!
Hukumuelewa jamaa... kamaanisha kuwa kama Yanga ingekuwa inategemea kuhonga, asingekuwa na ubavu wa kumfunga Belouizdad goli nne mechi ya kimataifa.... Soma btn lines.
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Hakuna kitu mbaya kama bangi changanya na ugoro na gomba bado hujanywa konyagi za kipimo.

Yaani unaandika kila linalokujia kichwani.
 
Salaam wakuu....

Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha

Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi

So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Afya ya akili
 
naunga mkono hili jambo...
 
Kocha wa timu ya taifa kwa kelele zenu kafukuzwa utaratibu ukoje wa kulitumia benchi la ufundi la yanga
 
Bench la ufundi huwalinacheza Namba ngapi uwanjani??. Zaidi ya kutoa maelekezo kwa wachezaji??
Naona una mapenzi ya kuiwaza utopolo muda wote.
Sasa kwnn Simba walimtimua robertinho....kama bench ni impact less
 
Back
Top Bottom