Akili za Watanzania hazivuki Yanga na Simba hiki kizazi ni wasted generation. .........unamka anawaza yanga wakati umezungukwa na changamoto za maisha lukuki loh.Salaam wakuu....
Leo nilikua nafuatilia mechi za Yanga plus mazoezi yao ....na Yale mazoezi ya mchezaji mmoja mmoja .... kwakweli hawa jamaa wanatisha
Ndipo nmeamini Kwann makolo walikuwa wanasema wachezaji wa Yanga wanatumia sawa za ku boost nguvu.....Ili kuwa na Kasi zaidi
So Kwa huu utafiti wangu. ..,nmegundua kuwa taifa stars wanaweza beba Hadi world cup kama bench la ufundi la yanga litaenda kupiga kaz pale starsView attachment 3089974
Wewe usiyewaza Simba na Yanga unamiliki viwanda vingapi?Akili za Watanzania hazivuki Yanga na Simba hiki kizazi ni wasted generation. .........unamka anawaza yanga wakati umezungukwa na changamoto za maisha lukuki loh.
Watanunuliwa hata kwa mabilioni kama walivyonunuliwa Belouizdad kwa kipigo cha goli 4. Ondoa shaka kwa hiloMweeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huko kimataifa wachezaji hawanunuliwi kwa million kumi mjue
Hata Juma Mgunda ukimpatia timu hii ya taifa nakuhakikishia anachukua AFCON sema sasa hivi ni zamu ya Zanzibar.Salaam wakuu....