Taifa stars inaweza beba Hadi world cup kama ipo chini ya benchi la ufundi la Yanga SC

Makolo wako nyumba sana
 
Hakuna kitu mbaya kama bangi changanya na ugoro na gomba bado hujanywa konyagi za kipimo.

Yaani unaandika kila linalokujia kichwani.
Daaah uwezo wako mdogo mkuu....kuelewa haya
 

Halafu we dogo Injia Hersi anasema jana umemweka kukusubiri hukwenda Hotel. Ukaja enda akiwa ametoka. Ali mind sana kuwa unamwaribia ratiba zake. Ndo akaamua kuku block. Nenda kamwone leo umwombe msamaha. Mnataka muunganishwe na watu kisha mnaaanza kuharibu mkizoeana. Kisha mje sema hampigwi tafu au hamwezeshwi. Shauri yako.
 
sawa nadhani tumekubaliana wakifungwa wamefungwa yanga na wakishinda wameshinda taifa stars
 
Una maanisha nn mkuu
 
sawa nadhani tumekubaliana wakifungwa wamefungwa yanga na wakishinda wameshinda taifa stars
Siku walipokuwa wanacheza na Ethiopia mchezaji wa yanga sc akikosea walikuwa wanapiga kelele kwamba ona wachezaji wa yanga sikufuatilia vizuri kumbe kibabage alikuwa anacheza winga namba 11 duu ndiyo nikagundua kocha hamna kitu kibaya zaidi camera zilimuonyesha akitikisa kichwa nikajiuliza inaamaana akili zake zimeishia pale ama ni wachezaji nikapata kumbe ni akili za kocha
 
Sawa ni kweli benchi la ufundi layanga ni zuri ila tusisahau kuyatumia na majini yao na pia tukumbuke kule atuwezi nunua mechi
Hapana mkuu...usiseme hivyo
 
Mkuu, kila mtu na hobby yake.
Halafu wewe usiyewaza yanga na simba unafanya nini kwenye uzi huu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…