Taifa stars "kichwa cha mwenda wazimu" duh hii kauli mzee wetu mwinyi tunaomba uitengue!

enock yusto

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2014
Posts
377
Reaction score
341
nimekaa nkafikiria nkaona pengine taifa stars inashindwa kusonga mbele kutokana na laana hii aliyoipa mzee mwinyi eti ni "kichwa cha mwenda wazimu"
 
Sio kwa timu ya Taifa tuu mkuu ila kwa soka kiujumla. Angalia rekodi ya kocha wa sasa wa timu hiyo ya Taifa na fananisha na Mbwana Samata na Tomas Ulimwengu ni mbingu na dunia. Simdhalilishi ila waliomteua ndio hawamtendei haki.
 
unamansha uwezo wa mbwana na ulmwngu pekee unatosha kuipaisha taifa starz? na kocha hatendewi haki kvp au hafai?
 
kweli yafaa waende kumuomba msamaha atengue kauli take tena wamuandalie mechi taifa hata kama tukipigwa
 
Tangu atoe hyo kauli hyo timu ya taifa imekuwa ya kutuletea maumivu tu kila michuanao
 
Soccer let tunaliua wenyewe, ujuaji juaji mwingi usiokuwa na maana, tunalilia kocha mzawa wanakati huo Tanzania hatujawahi cheza hata kombe la Africa tukafika nusu finali tukazalisha makocha wazawa, pia hatupeleki vijana kwenda basi walau kusomea ukocha huo nje lakini tunapiga kelele kila leo wanapokuja makocha wageni kutufundisha soccer kuwa tuwapatie wazawa nafasi, wakipatia wanaboronga A-Z, niambieni hivi kweli Bonifasi mkwasa ana qualify kufundisha Taifa stars? tuko wapi sasa, maana kila tukicheza shindano lolote tunabamizwa tu. Soccer limekwisha kabisa nyang'anyang'a.
 
Mkuu, nimegundua wale wapigao kelele za kutaka kocha mzawa ni wapigaji tu wa noti wakifaidika na kocha mwenyewe na au wachezaji kuchaguliwa kwa matakwa yao.
 
Back
Top Bottom