enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
nimekaa nkafikiria nkaona pengine taifa stars inashindwa kusonga mbele kutokana na laana hii aliyoipa mzee mwinyi eti ni "kichwa cha mwenda wazimu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa timu ya Taifa tuu mkuu ila kwa soka kiujumla. Angalia rekodi ya kocha wa sasa wa timu hiyo ya Taifa na fananisha na Mbwana Samata na Tomas Ulimwengu ni mbingu na dunia. Simdhalilishi ila waliomteua ndio hawamtendei haki.nimekaa nkafikiria nkaona pengine taifa stars inashindwa kusonga mbele kutokana na laana hii aliyoipa mzee mwinyi eti ni "kichwa cha mwenda wazimu"
unamansha uwezo wa mbwana na ulmwngu pekee unatosha kuipaisha taifa starz? na kocha hatendewi haki kvp au hafai?Sio kwa timu ya Taifa tuu mkuu ila kwa soka kiujumla. Angalia rekodi ya kocha wa sasa wa timu hiyo ya Taifa na fananisha na Mbwana Samata na Tomas Ulimwengu ni mbingu na dunia. Simdhalilishi ila waliomteua ndio hawamtendei haki.
Hawa wanauwezo na mbinu zaidi kuliko Mkwasa kwa sasa.unamansha uwezo wa mbwana na ulmwngu pekee unatosha kuipaisha taifa starz? na kocha hatendewi haki kvp au hafai?
Mkuu, nimegundua wale wapigao kelele za kutaka kocha mzawa ni wapigaji tu wa noti wakifaidika na kocha mwenyewe na au wachezaji kuchaguliwa kwa matakwa yao.Soccer let tunaliua wenyewe, ujuaji juaji mwingi usiokuwa na maana, tunalilia kocha mzawa wanakati huo Tanzania hatujawahi cheza hata kombe la Africa tukafika nusu finali tukazalisha makocha wazawa, pia hatupeleki vijana kwenda basi walau kusomea ukocha huo nje lakini tunapiga kelele kila leo wanapokuja makocha wageni kutufundisha soccer kuwa tuwapatie wazawa nafasi, wakipatia wanaboronga A-Z, niambieni hivi kweli Bonifasi mkwasa ana qualify kufundisha Taifa stars? tuko wapi sasa, maana kila tukicheza shindano lolote tunabamizwa tu. Soccer limekwisha kabisa nyang'anyang'a.