Taifa stars (kichwa cha mwendawazimu ), Haina makocha bali inawahuni tu na wapiga ramli chonganishi

Taifa stars (kichwa cha mwendawazimu ), Haina makocha bali inawahuni tu na wapiga ramli chonganishi

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,472
Reaction score
9,542
Benchi la Taifa stars kichwa cha mwendawazimu, limejaa uswahili Swahili mwingi , watu kama Julio kiwhelu , Juma Mgunda na Hemed Morocco hawafai kuwa hata wafua jezi wa timu ya Taifa ..

Hao ni wahuni tu , ujuaji mwingi lakini maarifa sifuri...!!Kocha mkuu amejaa kiburi kisicho na faida , na wakati hana historia yakuwa hata shabiki wa chandimu..Julio kiwhelu na mgunda wamegeuka madalali wa wachezaji wa timu ya Taifa ..wnawaita wale wanowapa kitu kidogo..takataka kabisaa!!
 
Wameharibu muunganiko wa wachezaji waliocheza CHAN kwa kuwaleta mabishoo
 
Timu zinaandaliwa na ACADEMY Sisi tupo busy magoli ya mama
 
kikosi kilicho cheza chan weng wa wachezaji walikua wa dini flani mpaka kuna mjinga mmoja akaleta udini kisa wachezaji wengi ni wa dini yake mpaka makocha.yan wanajiona wao ndo bora
 
Timu yenyewe ni kichwa cha mwendawazimu! Makocha wenyewe nao wamepewa kazi kishkaji na mshikaji mwenzao! Halafu eti kuna watu walitegemea muujiza!
 
Miaka nenda miaka rudi timu yetu haina Maendeleo wala dira
 
kikosi kilicho cheza chan weng wa wachezaji walikua wa dini flani mpaka kuna mjinga mmoja akaleta udini kisa wachezaji wengi ni wa dini yake mpaka makocha.yan wanajiona wao ndo bora
kichwa chako kimejaa mafuta ya taa, yaani takataka kama wewe bado mnaendelea kuzaliwa kwenye hili Taifa!!?
 
Back
Top Bottom