Taifa stars: Kila la kheri

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Leo timu yetu itashuka kupepetana na msumbiji,
tuungane pamoja kuisupport na kuiombea ushindi wa kishindo.
Kila la kheri!
 
Leo timu yetu itashuka kupepetana na msumbiji,
tuungane pamoja kuisupport na kuiombea ushindi wa kishindo.
Kila la kheri!

Hata hao the MAMBAZI na wao wanomba MUNGU huyu huyu tnaye mwabudu sisi.
Tmuombe nini kama vitu muhimu amekpa????
Amekupa: 1)MIGUU, 2)MIKONO,3) MACHO YOTE MAWILI,4) AKILI.

Unataka akupe nini sasa??????? Kazi ni kwao wachezaji, maana kilichobakia ni wao ktuonyesha vitu vya ziada kama kweli ni wachezaji wanaltmikia taifa lao. Lakini kama wanacheza tu ilimradi watajbeba wenyewe.
 

100% I Support you.
 
hakuna miujiza lazima watafungwa tu......
 
Nyinyi ombeni, mimi nasubiri matokeo ya dua zenu, tukifungwa itakuwa mliomba tufungwe, na tukishinda hali kadhalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…