Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo timu yetu itashuka kupepetana na msumbiji,
tuungane pamoja kuisupport na kuiombea ushindi wa kishindo.
Kila la kheri!
Hata hao the MAMBAZI na wao wanomba MUNGU huyu huyu tnaye mwabudu sisi.
Tmuombe nini kama vitu muhimu amekpa????
Amekupa: 1)MIGUU, 2)MIKONO,3) MACHO YOTE MAWILI,4) AKILI.
Unataka akupe nini sasa??????? Kazi ni kwao wachezaji, maana kilichobakia ni wao ktuonyesha vitu vya ziada kama kweli ni wachezaji wanaltmikia taifa lao. Lakini kama wanacheza tu ilimradi watajbeba wenyewe.
Hata na Mamba hawana lolote, kama ulifuatilia mechi yao na NamibiaTaifa stars akuna lolote.