Taifa Stars kuelekea Benin kucheza mechi ya kufuzu kombe la Dunia

Kwa hiki kikosi sijui!

Kibwana mzuri sijui kwanini hajaitwa. Lafu huyo Kabwili sijui wa nini
 
The Returns of Jonas Mkude
 
Star's watacheza mechi mbili na Benin ambazo zitaamua hatma yao maana baada ya hizo mechi mbili inakuwa imebak mechi moja kila laher Taifa stars
 
Star's watacheza mechi mbili na Benin ambazo zitaamua hatma yao maana baada ya hizo mechi mbili inakuwa imebak mechi moja kila laher Taifa stars
Ni Mbili baada ya hizi.Away vs Madagascar na Home Vs Congo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…