Jamal Malinzi
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 710
- 650
Jamal Malinzi
Nyinyi ni viongozi wa ajabu sana ambao macho yenu yana cover ya ndui isiyoona mbali. Mnafanya mambo kipumbavu sana kiasi kwamba hakuna la maana lolote ndani ya nchi upande wa soka. Hakuna lolote tangu uingie ni mavi mavi tu. Samahani nakupa tu ukweli maana vichwa vyenu vimejaa sugu masikio yana gundu hata hamuwezi kusikia, shenzi sana.
Hivi hii nchi nzima yenye mikoa zaidi ya 22 hamuwezi kutafuta wafadhili nje wawape pesa mzitumie kutafuta vipaji kuanzia ngazi ya kijiji kwa mchujo mpaka taifa? hamuwezi kushindwa kupata 11 wachezaji wakali sana kuliko mnavyookota wachezaji wasasa hivi. Yaani usimamizi mkali ufanyike kusaka 11 nchi nzima tukose kweli timu ya kuifunga spain? Kwa taarifa yako kuna vipaji sana nchi hii vya soka tatizo mmeviweka matakoni tu. Mmenikera sana eti timu ya taifa ya maboresho nyoooo, fanyeni kwa kumaanisha acheni utani.
Majaribu2013 what is the point kujificha nyuma ya pazia la ID na kutukana badala ya kujenga hoja? Ungekuwa hujatumia lugha ya kejeli na matusi ningekufafanulia kila uliloliona haliko sawa lakini i won't.
Last edited by a moderator: