Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kwanza naipongeza sana Taifa Stars kwa ushindi wa uhakika na kuingia ngazi kubwa zaidi katika mashindano ya AFCON.
Pamoja na pongezi hizo za juhudi binafsi ya wachezaji na kocha wao, mi naona ni kama kipofu kaona mwezi!
Ushindi unatakiwa kuwa endelevu na baada ya mipango thabiti na mazoezi ya miaka mingi.
Tanzania tufikirie kuwa na Sports Academies za kuchukua vijana toka wakiwa miaka 12 au 13.
Kijana akifundishwa miaka 4 ana kuwa mchezaji mzuri kama kina Mbape, miaka 16 au 17
Kijana akitumika vyema kwenye football pitch, ni kwa miaka takriban 5.
Kwa mpangilio huu sioni namna ya kushindwa owe AFCON, World Cup au mechi zozote
Ndio maana nasema huu ushindi wa jana ni fluke , bahati ya mtende au kipofu kuona mwezi