Taifa stars mechi moja ya majaribio inatosha kuchukua kombe la Afrika

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Wakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine.

Wakati tumu karibia zote zimevalishwa puma au nike au adidas sisi team yetu imevalishwa sijui na kampuni ya kichina etc.

Nadhani hata kocha anajua haki halisi kwamba mambo yanategemea miujiza zaidi.

Lakini kusema ukweli wizara ya kichezo na TFF mmezingua.. sana tena sana.

Mmepeleka timu kinyonge sana..

Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
 
Kuhusu kuweka kambi wiki mbili zinatosha sana, kuvaa jezi za kampuni ya kichina siyo issue. Labda hilo la mechi za majaribio
 
Hi nchi kila kitu inaingizwa siasa ile kamati ya kina Bashite sijui iliishiaga wapi
 
Back
Top Bottom