Taifa stars mechi moja ya majaribio inatosha kuchukua kombe la Afrika

Kuhusu kuweka kambi wiki mbili zinatosha sana, kuvaa jezi za kampuni ya kichina siyo issue. Labda hilo la mechi za majaribio
jambo lolote la kujenga umoja na mabadiliko katika mwili hasa michezo linahitaji mazoezi zaidi ya wiki mbili jombaa
 
Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]
Sawa boss.[emoji23][emoji23]
 
Wakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine.

Wakati tumu karibia zote zimevalishwa puma au nike au adidas sisi team yetu imevalishwa sijui na kampuni ya kichina etc.

Nadhani hata kocha anajua haki halisi kwamba mambo yanategemea miujiza zaidi.

Lakini kusema ukweli wizara ya kichezo na TFF mmezingua.. sana tena sana.

Mmepeleka timu kinyonge sana..

Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
Nadhani tumejifunza kwa Serengeti boys maandalizi yote yale ya mwaka mzima kuzunguka dunia lkn tukaishia kupokea vichapo
 
achana na hao wa negativities tuna mechi mbili za majaribio na zimbabwe na misri tena katika nchi ambayo michuano inafanyika advantage ni kuzoea hali ya hewa au walitaka kambi iwekwe spain au marekani?kenya kacheza na madagascar si bora sisi majaribio yetu?
Kuhusu kuweka kambi wiki mbili zinatosha sana, kuvaa jezi za kampuni ya kichina siyo issue. Labda hilo la mechi za majaribio
 
Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]
We ni li KingKong nini mzee baba?😂
 
malengo yetu yalikuwa kushiriki na tumefanikiwa tukishinda itakuwa ni bonus tu
 
Wasindikizaji hao AKA kichwa cha mwendawazimu watapigwa bao za kutosha kisha ndiyo wakumbuke shuka kumeshakucha, “maandalizi yetu yalikuwa si mazuri”

Wakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine.

Wakati tumu karibia zote zimevalishwa puma au nike au adidas sisi team yetu imevalishwa sijui na kampuni ya kichina etc.

Nadhani hata kocha anajua haki halisi kwamba mambo yanategemea miujiza zaidi.

Lakini kusema ukweli wizara ya kichezo na TFF mmezingua.. sana tena sana.

Mmepeleka timu kinyonge sana..

Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
 
If you fail to support us when we lose then don't support us when we win.
 
Back
Top Bottom