naweka gg,natia laki game na misri..hela yote naenda kugawana umasikini na dadapoa!
!
Wazee Wa Mikeka Ni Kuinyonga Tu Tu Kwa Handcape. Tunapiga Hela. Tumeenda Kushiriki
I second uWakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf
Wakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine.
Wakati tumu karibia zote zimevalishwa puma au nike au adidas sisi team yetu imevalishwa sijui na kampuni ya kichina etc.
Nadhani hata kocha anajua haki halisi kwamba mambo yanategemea miujiza zaidi.
Lakini kusema ukweli wizara ya kichezo na TFF mmezingua.. sana tena sana.
Mmepeleka timu kinyonge sana..
Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
Duh!Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1][emoji38][emoji38] heri jitoe sasa hivi maana hakuna mabadiliko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]