google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
jambo lolote la kujenga umoja na mabadiliko katika mwili hasa michezo linahitaji mazoezi zaidi ya wiki mbili jombaaKuhusu kuweka kambi wiki mbili zinatosha sana, kuvaa jezi za kampuni ya kichina siyo issue. Labda hilo la mechi za majaribio
Nyie wenye ID 2 mnausumbufu sanaWakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf
Hata mimi naamini kenya atatusamehe , lazima tufie uwanjaniHao kenya tutwapga mbili
Nadhani tumejifunza kwa Serengeti boys maandalizi yote yale ya mwaka mzima kuzunguka dunia lkn tukaishia kupokea vichapoWakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine.
Wakati tumu karibia zote zimevalishwa puma au nike au adidas sisi team yetu imevalishwa sijui na kampuni ya kichina etc.
Nadhani hata kocha anajua haki halisi kwamba mambo yanategemea miujiza zaidi.
Lakini kusema ukweli wizara ya kichezo na TFF mmezingua.. sana tena sana.
Mmepeleka timu kinyonge sana..
Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
Kuhusu kuweka kambi wiki mbili zinatosha sana, kuvaa jezi za kampuni ya kichina siyo issue. Labda hilo la mechi za majaribio
We ni li KingKong nini mzee baba?😂Mimi ni mtu mkubwa sana hmu jamvini mkuu, najifichia nyuma ya id fake bt lait kama ungebahatika kujua mm ni nan ungeenda kusimulia ukoo wako mzima kuwa nimechat na ww[emoji1]
Acha porojo yaani Samatta afe uwanjani ache mamilioni huko ulaya?Hata mimi naamini kenya atatusamehe , lazima tufie uwanjani
[emoji1] [emoji1] mkuu acha tu nijifiche kwenye hii id, nikijulikana usumbufu utakuwa mkubwa sana humu jamvini mwenu.We ni li KingKong nini mzee baba?[emoji23]
Id yangu ni moja tu humu mkuu, sijawahi badiliNyie wenye ID 2 mnausumbufu sana
Naona hazard umeenda kuwapa nguvu Madrid angalau wanaweza wakarud kwenye chat kdg[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
UtakumbushwaWakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf
Ndio ndio mkuu..naisubiri el classicoNaona hazard umeenda kuwapa nguvu Madrid angalau wanaweza wakarud kwenye chat kdg
Wakati kenya wakiwa ufaransa, uganda na ghana wakiwa Dubai toka wiki lililo pita huku wakicheza mechi za majaribio.. Tanzania tumeweka kambi Kunduchi na kutangulia misri kuwasubiri wengine.
Wakati tumu karibia zote zimevalishwa puma au nike au adidas sisi team yetu imevalishwa sijui na kampuni ya kichina etc.
Nadhani hata kocha anajua haki halisi kwamba mambo yanategemea miujiza zaidi.
Lakini kusema ukweli wizara ya kichezo na TFF mmezingua.. sana tena sana.
Mmepeleka timu kinyonge sana..
Kwa kweli tukichukua lile kombe au kuvuka makundi nitajua shetani alisha kufa.
[emoji1] [emoji1] mkuu acha tu nijifiche kwenye hii id, nikijulikana usumbufu utakuwa mkubwa sana humu jamvini mwenu.
Wakirudi ata na goli moja mkononi najiondoa jf