Jana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi wanapokuwa uwanjani na jana kama Taifa stars wangecheza na Uganda cranes wangefungwa si chini ya magoli manne.
Ninamshauri kocha katika mchezo unaofuata asisahau kuwajumuisha Msuva na Samatta.