Nusura aifunge maaana ake ni ipi??Jana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi wanapokuwa uwanjani na jana kama Taifa stars wangecheza na Uganda cranes wangefungwa si chini ya magoli manne.
Ninamshauri kocha katika mchezo unaofuata asisahau kuwajumuisha Msuva na Samatta.
Katika Mchezo wa Soka hasa kwa ngazi za Kitaifa (Nchi) kuwafananisha Uganda na Wapuuzi Jirani ni kama Kuwatusi.Jana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi wanapokuwa uwanjani na jana kama Taifa stars wangecheza na Uganda cranes wangefungwa si chini ya magoli manne.
Ninamshauri kocha katika mchezo unaofuata asisahau kuwajumuisha Msuva na Samatta.
Acha mambo ya ajabu.Nusura aifunge maaana ake ni ipi??
Tatizo mnapenda mshinde nyie kila siku. GHANA kafungwa KUMAS na Angola. Just imagine, nenda kwenye page za Ghana uone nini wanaComment utagundua sisi akili hatuna bali ni makelele na umbea tuuu.
Timu haijapoteza lkn midomoooooo kila mtu ni Kocha, kila mtu ni mchambuzi, kila mtu ni Mchezaji. Punguzen ujuaji
Niliangalia sehemu ya kipindi cha kwanza wakati RSA Inaongoza kwa goli Moja. Nimewaona Bafanabafana ni wakawaida sana, Cranes walikuwa wanafanya blunder nyingi sana zilizozaa clear chances, wakashindwa kuzitumia.Jana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi wanapokuwa uwanjani na jana kama Taifa stars wangecheza na Uganda cranes wangefungwa si chini ya magoli manne.
Ninamshauri kocha katika mchezo unaofuata asisahau kuwajumuisha Msuva na Samatta.
Mama yupo , Geson msigwa yupo watawapa faraja timu yetu ya taifa imekua yakisiasa sana so tumewaachia serikali iwape motishaJana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi wanapokuwa uwanjani na jana kama Taifa stars wangecheza na Uganda cranes wangefungwa si chini ya magoli manne.
Ninamshauri kocha katika mchezo unaofuata asisahau kuwajumuisha Msuva na Samatta.
Hivi Micho bado yupo ugandaJana usiku kupitia luninga ya AZAM sports one kulionyeshwa mchezo baina ya Uganda Cranes na timu ya Taifa ya Afrika Kusini.
Kwa kweli Uganda Cranes walionyesha kandanda safi na nusura Timu ya Afrika Kusini wafungwe kwenye mchezo wa Jana.
Hili liwe funzo kwa Taifa stars. Waongeze juhudi wanapokuwa uwanjani na jana kama Taifa stars wangecheza na Uganda cranes wangefungwa si chini ya magoli manne.
Ninamshauri kocha katika mchezo unaofuata asisahau kuwajumuisha Msuva na Samatta.
Nahisi tutaaibika hata tukiandaa sisi. Tunahangaika na viwanja, lakini team ni zile zileSisi tunaandaa AFCON 2027, lakini hadi sasa hakuna maandalizi ya timu, viongozi wanahangaika na kujenga viwanja
unapotoa sare na Ethiopia unategemea utaifunga DRC ? tumia akili yako vzr , Angola anaendeleza , ubabe na hajamuotea Ghana ndio maana hata Ghana hawapigi kelele , sisi tunalip la kujidai nalo mechi zilizobakia ? Uganda kashinda jana , Drc kashinda jana dhidi ya EthiopiaNusura aifunge maaana ake ni ipi??