Ushauri wa bure kwa makocha pamoja na wachezaji wetu wa Taifa Stars, pateni muda kisha tizameni lwa umakini mechi iliyo pogwa usiku huu kati ya jirani zetu Waganda na Wajukuu wa Mandele mtajifunza mambo mengi sana ambayo yatawaongezea kitu kuelekea robo fainali.
Pia kwa upande wetu sisi Mashabiki tunalo la kujifunza. tusikate tamaa, tujenge utamaduni wa kushangilia timu yetu hadi mwisho.
Pongezi kwa majirani zetu waganda kwa kuonyesha uzalendo wa hali ya juu lakini pia kujituma kwa bidii na maarifa bila kukata tamaaa.